Je, umemaliza chuo kikuu na upo unatafuta ajira?
Je, ungependa kupata uzoefu katika soko la ajira?
Je, ungependa kushirikiana pamoja katika kujenga taifa?
Tuandikie barua pepe au tuma ujumbe katika Facebook,
ili tuone ni namna gani tunaweza ungana pamoja katika kuendeleza taifa letu Tanzania.
We use cookies to analyze website traffic and optimize your website experience. By accepting our use of cookies, your data will be aggregated with all other user data.